Head of department anafanya kazi ipi? Enzi zetu zilikuwa zinatoka nafasi alafu unasema unataka kwenda wapi, sasa hicho chuo chenu sijui kikoje, any way kama wamekupangia huko ni bora uende kwani chuo kimeona huko utajifunza mengi. N a point yako ya umbali haina maana kwani nauli utapewa na serikari so umbali sio inshu, otherwise niambie kama unajisomesha then hapo kweli omba msaada, Mimi nilipangiwa tukuyu tena sehemu moja inaitwa mwakaleli je wewe ungeenda? piga shule acha siasa