Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unaombaje?
https://www.jamiiforums.com/nafasi-...a-kazi-accounts-clerk-department-manager.html
Samahani mkuu moghaka, huyu mliyemuajiri katika kipindi tajwa katika hii thread ameondoka au hamkuwahi kupata????
Madam ofice inazo nafasi za kazi kiasi nyingi na mabadiliko kwa wafanyakazi pia hutokea, ila tangazo ni hili hili limeshaajiri zaidi ya watu wanne,, sijui huyo unayemsema ni yupi ?
Asante mkuu, nimnekuelewa.
Haya pitia CV yangu kwenye inbox uone kama nafit katika hiyo nafasi.
200k ndio sh ngap hyo