Nafasi ya kazi accounts clerk/ department manager

moghaka

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
252
Reaction score
143
NAFASI YA KAZI IMEPATA MTU,

Tunawashukuru wote kwa ushirikiano wenu kwa namna yeyote na pia tunawaomba radhi kwa lolote lisilo la kawaida
 
umri ni kigezo muhimu sana. mimi nina miaka 24 je naweza kuomba iyo kazi
 
Madam ofice inazo nafasi za kazi kiasi nyingi na mabadiliko kwa wafanyakazi pia hutokea, ila tangazo ni hili hili limeshaajiri zaidi ya watu wanne,, sijui huyo unayemsema ni yupi ?

Asante mkuu, nimnekuelewa.

Haya pitia CV yangu kwenye inbox uone kama nafit katika hiyo nafasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…