Enny JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 962 Reaction score 130 Feb 29, 2012 #1 Kampuni ya usafirishaji mizigo inatafuta afisa masoko mwenye uzoefu na kazi za usafirishaji mizigo. Kampuni ni mpya, hivyo kuna changamoto nyingi hasa katika kutafuta masoko. Ipo dar es salaam, upanga. Kama upo interested, tafadhari ni pm.
Kampuni ya usafirishaji mizigo inatafuta afisa masoko mwenye uzoefu na kazi za usafirishaji mizigo. Kampuni ni mpya, hivyo kuna changamoto nyingi hasa katika kutafuta masoko. Ipo dar es salaam, upanga. Kama upo interested, tafadhari ni pm.
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Feb 29, 2012 #2 Haina jina hyo kampuni?
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,767 Reaction score 6,575 Feb 29, 2012 #3 Senetor said: Haina jina hyo kampuni? Click to expand... labda na jina bado hajapata..
K kelvinkipeta Senior Member Joined Feb 17, 2012 Posts 108 Reaction score 11 Mar 3, 2012 #4 toa upuuzi hapa kamuni haina jina wala contact,jipange wewe,upanga kubwa bwa mdogo usichezee raia akili tunahasira ka tumemwagiwa maji ya betri kama umechoka si ukalale uwape mbu faid abwana kuliko kutype uncertainities kama hizo mzee
toa upuuzi hapa kamuni haina jina wala contact,jipange wewe,upanga kubwa bwa mdogo usichezee raia akili tunahasira ka tumemwagiwa maji ya betri kama umechoka si ukalale uwape mbu faid abwana kuliko kutype uncertainities kama hizo mzee