Visionmark
Senior Member
- Nov 24, 2011
- 158
- 28
Wakuu heshima kwenu, samahani naomba mtu ambaye anaweza kuwa na taarifa ya mahali/taasisi ambapo naweza pata kazi au nafasi ya kujitolea khsiana na uhifadhi wa wanyama pori/mazingira ndani au hata nje ya nchi anijulishe hapa jamvini. Ahsanteni sana!