V Visionmark Senior Member Joined Nov 24, 2011 Posts 158 Reaction score 28 Mar 24, 2012 #1 Wakuu heshima kwenu, samahani naomba mtu ambaye anaweza kuwa na taarifa ya mahali/taasisi ambapo naweza pata kazi au nafasi ya kujitolea khsiana na uhifadhi wa wanyama pori/mazingira ndani au hata nje ya nchi anijulishe hapa jamvini. Ahsanteni sana!
Wakuu heshima kwenu, samahani naomba mtu ambaye anaweza kuwa na taarifa ya mahali/taasisi ambapo naweza pata kazi au nafasi ya kujitolea khsiana na uhifadhi wa wanyama pori/mazingira ndani au hata nje ya nchi anijulishe hapa jamvini. Ahsanteni sana!