lusajo1990
Member
- Sep 28, 2014
- 20
- 18
Habari,
Nahitaji kijana wa kusimamia biashara ya hardware hasa katika';
Deadline ya mahombi ni 28.02.2025/
regards
lusajo
Nahitaji kijana wa kusimamia biashara ya hardware hasa katika';
- Ku apply Tender katika mtandao wa nest
- Ku tafuta masoko ya bidhaa zilizopo
- Ku tafuta potential suppliers
- Ku tuma sales and purchases report kupitia excel tool
- etc
Deadline ya mahombi ni 28.02.2025/
regards
lusajo