lusajo1990
Member
- Sep 28, 2014
- 20
- 18
Elimu?Habari,
nahitaji kijana wa kusimamia biashara ya hardware hasa katika';
biashara ipo kibaha, kwa mawasiliano tuma mail through lusajo.ngulla@luhico.co.tz or text message 0761680098.
- ku apply Tender katika mtandao wa nest
- ku tafuta masoko ya bidhaa zilizopo
- ku tafuta potential suppliers
- ku tuma sales and purchases report kupitia excel tool
- etc
deadline ya mahombi ni 28.02.2025/
regards
lusajo
Natoa opportunity kwa yeyote anaeweza vitu nilivyo list hapo regardles ya education yakeElimu?
Ila kipengele cha kutafuta soko la bidhaa zilizopo si ni kazi yako chief? Biashara ni matangazo!Natoa opportunity kwa yeyote anaeweza vitu nilivyo list hapo regardles ya education yake
Utasikia anasema laki 3+chakula cha mchana.Mshahara?
Si unaona swali kalirukaUtasikia anasema laki 3+chakula cha mchana.
Kibaha,ameandika hapo juuEneo la kazi ni wapi?
Weka offer Yako pia mkuu ..offer ina maana kubwa sana kwenye tangazo la kazi..Habari,
Nahitaji kijana wa kusimamia biashara ya hardware hasa katika';
Biashara ipo kibaha, kwa mawasiliano tuma mail through lusajo.ngulla@luhico.co.tz or text message 0761680098.
- Ku apply Tender katika mtandao wa nest
- Ku tafuta masoko ya bidhaa zilizopo
- Ku tafuta potential suppliers
- Ku tuma sales and purchases report kupitia excel tool
- etc
Deadline ya mahombi ni 28.02.2025/
regards
lusajo
Kabisa ina ushawishi mkubwa sanaWeka offer Yako pia mkuu ..offer ina maana kubwa sana kwenye tangazo la kazi..