Nafasi ya kazi kwa dereva

Nafasi ya kazi kwa dereva

Ayagumilwe

New Member
Joined
Sep 12, 2024
Posts
1
Reaction score
1
Habari wana JF
Hongereni kwa kazi ya kujenga taifa
Anatafutwa dereva mwenye leseni ya class C yoyote , kazi yake itakuwa itakuwa ni kuendesha basi la shule na majukumu mengine atakayopangiwa na mwajiri wake
Vitu vinavyoitajika
1. Leseni daraja C
2. Elimu ya kidato cha nne na kuendelea
3. Kitambulisho/ namba ya Nida
4. Taarifa binafsi (cv)

Eneo la kazi ni Dar es salaaam
Malipo Ataelewana na mwajiri wake

Mwenye sifa tajwa hapo juu tuwasiliane na atume viaambatanisho kupitia email : enkorantima@gmail.com
 
Back
Top Bottom