DALALI MKUU
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 2,011
- 4,705
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyoelezea hapo kama unahitaji, una ndugu, jamaa au rafiki anayehitaji kaz ya Kuuza Bar anicheki.
Majukumu yake ni Kuuza na kuhudumia wateja.
Umri 20"s
Uzuri ni sifa ya ziada. HAIZINGATIWI. ENEO LA KAZI NI MBEZI KWA Msuguri
Mhudumu atakuwa analala kwenye eno lake la kazi atapewa Chumba cha kulala sio kuishi.
WANAHITAJIKA WAWILI MMOJA WA COUNTER NA MWINGINE WA KUSAVE
Aliye tayari ani PM
Maswala ya mshahara na majukumu Mengine watamalizana na Mwenye kazi