Wakuu kama kichwa cha habari kinavyoelezea hapo kama unahitaji, una ndugu, jamaa au rafiki anayehitaji kaz ya Kuuza Bar anicheki
Majukumu yake ni Kuuza na kuhudumia wateja
umri 20"s
Uzuri ni sifa ya ziada. HAIZINGATIWI
ENEO LA KAZI NI MBEZI KWA Msuguri
Mhudumu atakuwa analala kwenye eno lake la