natafuta mtaalamu wa kutengeneza keki, donut, maandazi. mwajiri ni bekari binafsi ya saizi ya kazi ambayo kwa muda mrefu imekuwa ikitengenea mikate peke yake na sasa inahitaji kujikita pia kwenye uokaji wa keki, donut, croissants na kadhalika.
kama unafaa ama una ndugu au jamaa mwenye utaalamu huo tafadhali piga simu namba 0784302194 au 0787154980
kama unafaa ama una ndugu au jamaa mwenye utaalamu huo tafadhali piga simu namba 0784302194 au 0787154980