wana JF wenzangu naombeni kuuliza mimi ninadiploma ya journalism je ninaweza nikapata kazi kwenye makampun ya mawasiliano kama airtel, voda, tigo...... na jinsi gani ninaweza kupata naombeni msaada na ushauri pia
Vodacom nenda pale Erolink utaacha Cv then watakuita kwenye interview, Airtel nenda pale makao makuu morocco, Tigo peleka Cv infinity hapo hapo morocco.