Nafasi ya kazi Marekani vs Tanzania

Nafasi ya kazi Marekani vs Tanzania

OllaChuga Oc

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2016
Posts
21,569
Reaction score
24,812
1610465723553.jpg
 
Bandiko lako halijajitosheleza ungetulia ukapata taarifa iliyokamilika ili iwe rahisi kwetu sisi wasomaji...
 
nilichogundua hapa wala lengo si ajira bali walitaka kuonesha tu ni kwa namna gani Tanzania tupo tofauti na nchi zilizoendelea kwa maana ya kwamba USA wao wanahitaji Graphics designer tu lakini Tanzania wanahitaji Graphics designer lskini huyohuyo awe anaweza kushoot kupiga picha kuprint hivyo Tanzania wao hawathamini ufanisi wa kazi wakati USA wao kila sector itakua na mtu maalumu hivyo ufanisi wa kazi utaongezeka. DAAH MAISHA HAYA.
 
Ndio ndio nadhani tuko pamoja.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom