nilichogundua hapa wala lengo si ajira bali walitaka kuonesha tu ni kwa namna gani Tanzania tupo tofauti na nchi zilizoendelea kwa maana ya kwamba USA wao wanahitaji Graphics designer tu lakini Tanzania wanahitaji Graphics designer lskini huyohuyo awe anaweza kushoot kupiga picha kuprint hivyo Tanzania wao hawathamini ufanisi wa kazi wakati USA wao kila sector itakua na mtu maalumu hivyo ufanisi wa kazi utaongezeka. DAAH MAISHA HAYA.