Nafasi ya kazi: Meneja wa Tawi

Nafasi ya kazi: Meneja wa Tawi

KAUZUDAGAA

Member
Joined
Sep 24, 2012
Posts
36
Reaction score
4
Kwa yeyote anayetafuta kazi sasa umepata suluhisho la tatizo lako. Nafasi ya kazi ni Branch manager wa NSSF. Sifa za mwombaji awe anajua kusoma na kuandika, vile vile mwombaji anatakiwa awe Mtanzania mwenye umri usiopungua miaka 18. Mwisho wa kupokea maombi ni tar. 23/04/2013. Nakuomba popote utakaposikia kuna kazi uniambie kwa sababu hata mimi nimehangaika sana kutafuta kazi hii.
 
maelekezo yako hayana kichwa! yawekee afu tuendelee! NSSF nao kmbe wanatangaza nafas za kaz kizembe hivi!??
 
hah! yaani qualification ni kusoma na kuandika tu?????
 
We mwislamu maana nasikia pale na udom wanaajiri tu hiyo dini.
 
Kwa yeyote anayetafuta kazi sasa umepata suluhisho la tatizo lako. Nafasi ya kazi ni Branch manager wa NSSF. Sifa za mwombaji awe anajua kusoma na kuandika, vile vile mwombaji anatakiwa awe Mtanzania mwenye umri usiopungua miaka 18. Mwisho wa kupokea maombi ni tar. 23/04/2013. Nakuomba popote utakaposikia kuna kazi uniambie kwa sababu hata mimi nimehangaika sana kutafuta kazi hii.[/QUOT
Umeandika mseto wa ukweli,vipi umechafukwa roho?
 
Back
Top Bottom