Stationalist (Mhudumu wa Stationary)
Date Listed: Nov 19, 2012
Phone: +255 766 459 988
Area: Dodoma
Application Deadline: Nov 22, 2012
Position Description:
Mahali ni St. John's University of Tanzania Dodoma. Mwenye sifa za kuweza kukaa stationary kwa majukumu ya kutype, photocopy, printing na huduma nyinginezo zinazoambatana na kazi za stationary.