Tanzania-Nyumbani
Member
- Jun 2, 2026
- 12
- 6
Sawa mkuu, ninaomba uniombee.Utapata tu usijali
Nimefanya kwa makusudi maana nisingelifanya hivyo hata wewe usingelisoma, nisaidieni mnipe kazi tuu.Ila uandishi wa kichwa cha mada na mada yenyewe 🙌
Sasa kama mm nimesoma maana yake pia nna uhitaji wa kazi, afu uliandika hvy n uhuni.Nimefanya kwa makusudi maana nisingelifanya hivyo hata wewe usingelisoma, nisaidieni mnipe kazi tuu.
Ninaomba unisaidie kazi mkuu.Sasa kama mm nimesoma maana yake pia nna uhitaji wa kazi, afu uliandika hvy n uhuni.
Ukinyooka n rahisi kuaminika na sio kuandika kihuni
Wakuu bado ninawaomba mnipe fursa, nina uhitaji nayo sana.Bado sijapata kazi, ninaomba mnipe fursa nikapambane.