Nahitaji Pharmaceutical Technitians (Diploma Holders) wenye uzoefu wa kufanya kazi kwenye CTC na ambaye yupo tayari kufanya kazi
Arusha,Iringa na Musoma.Nafasi hizi zipo wazi hadi wapatikane 3. Tuma maombi yako kwa isiswe@gmail.com kama unayo intrest.