Wanabodi
Mnaweza kujaribu bahati zenu.
Kazi hii ya TARIPA chini ya Mradi wa NAFAKA ambao unafadhiriwa na USAID ni kama muendelezo wa SAGCOT na Kilimo Kwanza kwa Mapana yake
Nitakuja na address wapi pa kupeleka maombi muda si mrefu
Deadline (mstari wa kifo/kufa) au tarehe ya mwisho kuleta maombi ni 17 Aprili 2012