D Doi Member Joined Dec 22, 2011 Posts 23 Reaction score 1 Dec 6, 2012 #1 jamani naomba mtujuze mana ktk matangazo ya kuitwa kwenye usaili sijaona hii post post ya kuitwa kwenye usaili post ya AFISA BIASHARA DARAJA LA II (TRADE OFFICER GRADE II)
jamani naomba mtujuze mana ktk matangazo ya kuitwa kwenye usaili sijaona hii post post ya kuitwa kwenye usaili post ya AFISA BIASHARA DARAJA LA II (TRADE OFFICER GRADE II)
Gogo la choo JF-Expert Member Joined Oct 8, 2012 Posts 708 Reaction score 292 Dec 6, 2012 #2 Ilikuwa wapi hiyo vacant..funguka zaidi bwaaana..!!
D Doi Member Joined Dec 22, 2011 Posts 23 Reaction score 1 Dec 6, 2012 Thread starter #3 Gogo la choo said: Ilikuwa wapi hiyo vacant..funguka zaidi bwaaana..!! Click to expand... ni zile ajira zilizotangazwa nyingi ndugu yangu,za kati ya trh 25/05/2012, na 29/06/2012 km sikosei
Gogo la choo said: Ilikuwa wapi hiyo vacant..funguka zaidi bwaaana..!! Click to expand... ni zile ajira zilizotangazwa nyingi ndugu yangu,za kati ya trh 25/05/2012, na 29/06/2012 km sikosei
Mwanyasi JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 7,955 Reaction score 7,109 Dec 8, 2012 #4 Doi said: ni zile ajira zilizotangazwa nyingi ndugu yangu,za kati ya trh 25/05/2012, na 29/06/2012 km sikosei Click to expand... Watu mbona wapo kazini tangu mwezi wa Saba
Doi said: ni zile ajira zilizotangazwa nyingi ndugu yangu,za kati ya trh 25/05/2012, na 29/06/2012 km sikosei Click to expand... Watu mbona wapo kazini tangu mwezi wa Saba