Nafasi ya kazi ya afisa tarafa

lutayega

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
1,297
Reaction score
567
Nimepewa taarifa ya kuwa katika gazeti la habari leo na daily news ya jana tarehe 30.5.2012 kuna nafasi za kazi za maafisa tarafa 145 nchini TANZANIA. Naomba aliyebahatika kupata magazeti hayo atuwekee hilo tangazo hapa. Naomba kuwasilisha
 
mwenye magazeti hayo aweke hapa hilo tangazo
 
Kaka mbona umeandika tarehe 30-05-2012? Wakati haijafika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…