Laurence
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 3,104
- 423
Shule ya Ambassodor zamani ikijulikana kama Happy Skillful ya Tabata Segerea wametangaza nafasi hyo ya kazi kama inavyojieleza kwenye heading,kama una sifa tafadhali leta barua yako ya maombi,CV's na vyeti husika Ofisini Tabata Segerea BS mkabala na ukumbi wa LUKOLO( Office inaitwa JCN COMPUTER ASSOCIATES) kwa maelezo zaidi piga 0714142266 na 0755696168;haya wakuu jaribuni zali hilo kwani tangazo nimelikuta hapo leo na wamenieleza haya sasa jaribuni wadau zali hilo N:B hakuna GPA wala nn wewe peleke vyeti mengine utayapata huko