Natafuta meneja wa kusimamia mradi wa kusaga, kukoboa,kupack na kuuza nafaka. Anatakiwa awe na uzoefu walao wa miaka miwili katika kazi hiyo hapa Dar es salaam. Awe na elimu walao ya kidato cha nne. tuma maombi box 79989 Dar es Salaam piga simu 0714432979
mshahara utakuwa mzuri, na pia kutakua na bonus ambayo itatokana na mauzo, tutawekeana targets, if you meet the target you must get bonus on top of your good salaryMalipo yakoje au ndio 'attractive package to the right candidate' ?
Dola 3000