Kuna mradi ya kusaga,kukoboa, kupaki na kuuza nafaka utaanza mwezi september mwanzoni, anahitajika meneja mwenye uzoefu na kazi hiyo, kazi itakua hapa Dar es salaam.
Pia anahitajika mtu mwenye uzoefu kwenye kuchanganya chakula cha mifugo
Pia nahitajika mtu mwenye uzoefu wa kusimamia ufugaji mkubwa wa kuku,
Kuweni makini vijana. Hizi nafasi wanazotangaza kabla ya mradi kuanza mara nyingi zinakuwaga changa la macho.
Mnazikumbuka zile za mwez wa nne za Bukombe? Nazo ilikuwa hiv hiv.
Fanya application ila wakikuomba hela usithubutu. All da best.