Mwl wa akiba
Member
- Nov 12, 2020
- 66
- 66
Salamu Wakuu.
Husika na kichwa cha uzi hapo juu kwa dhati ya moyo mimi kama kijana wa kitanzania nimeamua kutoa nafasi kwa wahusika hapo juu kuwapa faraja na kuona wao pia ni watu wanastahili faraja katika dunia hii na kuhakikisha furaha inakuwa sehemu ya maisha yao.
Niko tayari kuwa nao zaidi ya karibu katika kipindi ambacho mioyo yao na hali za faraja hazijawa imara nitatoa msaada wa HALI kama vile
- Communication care inahusisha kuwajulia hali kuanzia asubuhi hadi wanaenda kulala na tathmini ya siku.
- Personal feelings Care hii inahusisha kuwapa maneno ya kufariji ,kuwasifia na kuwasikiliza na stori za hapa na pale ,kuwapa kampani katika mitoko au safari kama ikiwezekana .
- Motivational Care hii itahusisha mswada wa kuwashauri kwenye baadhi ya mambo , pia kuwakumbusha kwenye mambo ambayo walipanga kuyafanya ,kuwakosoa pia wanapofanya tofauti na walivyopanga kufanya.
Kuhusu mimi ni kijana mwenye umri wa miaka isiyozidi 26 ambaye nimeguswa kutoa msaada huo kwa yeyote mwenye uhitaji na ili wote tuone kuwa duniani bado furaha na faraja zinapatikana .
Kwa walio serious mnakaribishwa PM Kwa Mawasiliano na maswali ya ziada ambayo hapa mnaona aibu kuuliza.
Naomba kuwasilisha .