Tunapenda kutangaza nafasi ya kujitolea kufanya kazi kwa kipindi cha miezi mitatu (3) katika idara ya Sales and Marketing.
hhrtanzania@gmail.com
- Allowance ya nauli (TSH 180,000) itatolewa kila mwisho wa mwezi
- Chakula cha asubuhi na mchana kitatolewa uwapo kazini
- Hakutakuwa na mshahara zaidi ya allowance ya nauli
- Waliosomea Sales and Marketing kwa level yoyote watapewa kipaumbele
- Ajira inaweza kutolewa baada ya miezi mitatu (3) ya kujitolea kuisha
- Uwezo wa kompyuta na kuongea kwa ufasaha lugha ya kingereza ni lazima
hhrtanzania@gmail.com