Nafasi ya kujitolea - sales & marketing

HHR

New Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
3
Reaction score
2
Tunapenda kutangaza nafasi ya kujitolea kufanya kazi kwa kipindi cha miezi mitatu (3) katika idara ya Sales and Marketing.
  • Allowance ya nauli (TSH 180,000) itatolewa kila mwisho wa mwezi
  • Chakula cha asubuhi na mchana kitatolewa uwapo kazini
  • Hakutakuwa na mshahara zaidi ya allowance ya nauli
  • Waliosomea Sales and Marketing kwa level yoyote watapewa kipaumbele
  • Ajira inaweza kutolewa baada ya miezi mitatu (3) ya kujitolea kuisha
  • Uwezo wa kompyuta na kuongea kwa ufasaha lugha ya kingereza ni lazima
Kwa wanaohitaji watume CV zao kwa email:

hhrtanzania@gmail.com
 
Ni kampuni gani inajihusisha na nini? Inapatikana wapi?
 
Hapo uliposema kuwa kutakuwa na Chakula cha Asubuhi katika point yako namba Mbili umemaanisha nini? Wafanyakazi wako Watashiba sana tu!
 
Nyie Ni wale ambao mnasambaza vitu ? Sabuni sijui nk !? Bla bla nyingi ? Mara moja jero, tatu buku !
Kazi kweli kweli.,,, Tujikite kujenga uchumi wa kati !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…