Nafasi ya kuwekeza Yanga.

Nafasi ya kuwekeza Yanga.

Song il gok

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2015
Posts
878
Reaction score
938
Wanajangwani na wafanyabiashara wakubwa wote wanaohitaji kuwekeza kwenye brand ya yanga kama njia ya kumuunga mkono mheshimiwa mwenyekiti katika mpango wako wa kukodishiwa klabu yetu kesho watakua na mkutano mkubwa sana pale hoteli ya Double tree by Hilton. Yaani naanza kuona mambo ya klabu yetu yakiwa yameiva kabisa jamani.
 
Attachments

  • yanga emailer1.jpg
    yanga emailer1.jpg
    142 KB · Views: 77
Wanajangwani na wafanyabiashara wakubwa wote wanaohitaji kuwekeza kwenye brand ya yanga kama njia ya kumuunga mkono mheshimiwa mwenyekiti katika mpango wako wa kukodishiwa klabu yetu kesho watakua na mkutano mkubwa sana pale hoteli ya Double tree by Hilton. Yaani naanza kuona mambo ya klabu yetu yakiwa yameiva kabisa jamani.
Ninafurahi sana mambo kama haya yakiwekwa wazi kwa kila mtu kuona na inaondoa figisufigisu ndani ya jamii
 
Sana mkuu. Inaonesha jinsi gani sisi tuna vision ya mbele tofauti na vyura fc

Back
Top Bottom