Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Katika wagombea wa nafasi ya makamu mwenyekiti hakuna aliyefikisha zaidi ya 50% hii inamaanisha uchaguzi wao unarudiwa ili kumpata mshindi.
Kulingana na taratibu za CHADEMA matokeo yanatakiwa kunangazwa yote huku nafasi ya Mwenyekiti ikiwa ni ya mwisho.
Pia soma: LIVE - Pre GE2025 - Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu?
Kwa maana hiyo hakuna matokeo yatatangazwa mpaka wapige tena kura, wagombea wazidi 50% ndio matokeo yote yatangazwe.