Tafuta mtu wa ndani mle upate walahu dondoo za kwenye makaratasi yaliyosainiwa na Lema na mwenzie Boni yaiWakuu,
Katika wagombea wa nafasi ya makamu mwenyekiti hakuna aliyefikisha zaidi ya 50% hii inamaanisha uchaguzi wao unarudiwa ili kumpata mshindi.
Kulingana na taratibu za CHADEMA matokeo yanatakiwa kunangazwa yote huku nafasi ya Mwenyekiti ikiwa ni ya mwisho.
Kwa maana hiyo hakuna matokeo yatatangazwa mpaka wapige tena kura, wagombea wazidi 50% ndio matokeo yote yatangazwe.
Information ziko 'water tight mark' hakuna kinachovujaTafuta mtu wa ndani mle upate walahu dondoo za kwenye makaratasi yaliyosainiwa na Lema na mwenzie Boni yai
Subiri tulifuatilie hiliWakuu,
Katika wagombea wa nafasi ya makamu mwenyekiti hakuna aliyefikisha zaidi ya 50% hii inamaanisha uchaguzi wao unarudiwa ili kumpata mshindi.
Kulingana na taratibu za CHADEMA matokeo yanatakiwa kunangazwa yote huku nafasi ya Mwenyekiti ikiwa ni ya mwisho.
Kwa maana hiyo hakuna matokeo yatatangazwa mpaka wapige tena kura, wagombea wazidi 50% ndio matokeo yote yatangazwe.
Leo ndio nimejua kumbe tunailaumu bure Tume ya Uchaguzi.Wakuu,
Katika wagombea wa nafasi ya makamu mwenyekiti hakuna aliyefikisha zaidi ya 50% hii inamaanisha uchaguzi wao unarudiwa ili kumpata mshindi.
Kulingana na taratibu za CHADEMA matokeo yanatakiwa kunangazwa yote huku nafasi ya Mwenyekiti ikiwa ni ya mwisho.
Kwa maana hiyo hakuna matokeo yatatangazwa mpaka wapige tena kura, wagombea wazidi 50% ndio matokeo yote yatangazwe.
Mbona nimeona baada ya saini za Lema na Boni Yai...wajumbe vijana walianza kuliamsha kw shangwe...?? Na Crown TV wakawa wanamumlika sana TL?Information ziko 'water tight mark' hakuna kinachovuja
Liko hivyo... Kwa mujibu wa Katibu Mnyika... Japo naona ukumbini wajumbe ni kama walishapata matokeo ya nafasi nyingine. Si kwa buradani kabambe linaloendelea ukumbini!Subiri tulifuatilie hili
Wakati huo nani atakuwa analinda kura za uenyekitiKwa maana hiyo hakuna matokeo yatatangazwa mpaka wapige tena kura, wagombea wazidi 50% ndio matokeo yote yatangazwe.
Kwa nyumbu siyo rahisi kufanya vitu kisayànsi.Leo ndio nimejua kumbe tunailaumu bure Tume ya Uchaguzi.
Ikiwa kauchaguzi kenye wajumbe hata robo laki awafiki kanachukua masaa zaidi ya siku moja kutangazwa, je wakipewa wasimamie uchaguzi wa jimbo itachukua miaka mingapi?
CHADEMA is unnecessarily complicating the process.
Huu uchaguzi haukutakiwa kuzidi masaa manne kwenye erra hii ya science and technology. Infact kura zingeweza hata kupigwa hukohuko majimboni hesabu zikatumwa tu Dar es salaam.
Chanzo changu kashinda 51% heche57%2%, kwa 39%, kwa 59%
Pongezi sana kwa wanywa mtukulu - kwa mwili risasi