TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
Wadau
Leo asubuhi nilikua nasikiliza radio nikasikia huko Ujerumani bunge lina mpango wa kujadili nafasi ya mwanamke nyumbani na pia namna ya kuongeza au uwezekano wa wanaume kuwa more involved na kazi za majumbani... Rai hii imetolewa na wanawake huyo German
Nimepata maswali mengi sana kuhusu nafasi na wajibu wa hizi jinsia mbili kwenye maisha ya kila siku
Siku hizi usipoweza kupika, kufanya usafi nk unaambiwa hujali au sio romantic...lakini ukimuomba mansapu japo kidogo aende akasimamie vitofali, au kupakua mzigo sehemu au kulinda ulinzi jamii inakua tabu
How best can we motivate men to be more invoked in domestic assignments?