Nafasi ya mwisho kwa Zanzibar kuamua ni hii ,msije mkalaum huko mbeleni

Cosovo

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2018
Posts
667
Reaction score
1,810
Sasa ni muda mwafaka Wazanzibar kuamua kuwa koloni la Tanganyika au walete Katiba ya Warioba yenye msingi wa Serikali 3

Mmekuwa mnalalamika kuwa Tanzania bara ndo Tanzania na Zanzibar imefanywa kama mkoa sasa nashangaa mmekalia kiti badala ya kufanya marekebisho,mmeufyata wa Bara .

Siku Rais Samia akiondoka madarakani basi Mzanzibar kuja kuwa Rais wa Muungano itakuwa ndoto za mchana unless Rais mwingine aje kufia madakani

Ukumbuke kila kukicha ndo viongozi vichaa zaidi wanazaliwa
 
Mambo mazuri hayataki haraka, mbona kero za muungano zinafanyiwa kazi, hilo swala la katiba litakuja mwisho kuja kupigilia msumari wa mwisho kuhusu Zanzibar yenye mamlaka kamili.
 
Back
Top Bottom