Sasa ni muda mwafaka Wazanzibar kuamua kuwa koloni la Tanganyika au walete Katiba ya Warioba yenye msingi wa Serikali 3
Mmekuwa mnalalamika kuwa Tanzania bara ndo Tanzania na Zanzibar imefanywa kama mkoa sasa nashangaa mmekalia kiti badala ya kufanya marekebisho,mmeufyata wa Bara .
Siku Rais Samia akiondoka madarakani basi Mzanzibar kuja kuwa Rais wa Muungano itakuwa ndoto za mchana unless Rais mwingine aje kufia madakani
Ukumbuke kila kukicha ndo viongozi vichaa zaidi wanazaliwa