Nafasi yako kufanya tafiti katika mkoa wa tabora

hbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2011
Posts
678
Reaction score
298
Ewe mwanafunzi au mwananchi yeyote, je unataka kufanya tafiti katika mkoa wa tabora kwa kipindi cha likizo ndefu(baada ya semister ya pili) katika nyanja za elimu,uchumi na jamii?

Kama jibu ni ndiyo basi pata taarifa zaidi hapa Bofya hapa kupata taarifa zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…