laurentie
Senior Member
- Feb 24, 2012
- 100
- 77
BLACKHORSE AFRICA ni kampuni mpya iliypo arusha inatafuta wafanyakazi idara ya mauzo
wanahitajika wafanyakazi wa kike kwa ajili ya mauzo
sifa za waombaji
- Elimu ya chuo diploma masoko na mauzo
- Awe na uzoefu usiopungua miaka mitatu
- Awe mkazi wa Arusha
- Awe na uzoefu kwenye kampuni ya information technology(IT)
- Awe na smart phone
- Awe anajua kujieleza kwa kiingereza na kiswahili kwa ufasaha