BLACKHORSE AFRICA ni kampuni mpya iliypo arusha inatafuta wafanyakazi idara ya mauzo
wanahitajika wafanyakazi wa kike kwa ajili ya mauzo
sifa za waombaji
Elimu ya chuo diploma masoko na mauzo
Awe na uzoefu usiopungua miaka mitatu
Awe mkazi wa Arusha
Awe na uzoefu kwenye kampuni ya information technology(IT)
Awe na smart phone
Awe anajua kujieleza kwa kiingereza na kiswahili kwa ufasaha