Nafasi za Cabin Crew precision air vipii??

King2

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
1,277
Reaction score
182
Mbona kimya, au ndio kama kawaida tumepoteza muda wetu ku apply.
 
Wana-aim Wakenya zaidi Wa-Tz wamezidi visingizio... SOURCE from Insider!
 
cabin crew haitofautiani na kazi za waiters! professional ni aibu kufanya hii kazi au sababu ni kupanda ndege? upo tayari kumpangia msosi na kumnawisha classmate wako ndani ya pipa!
 
Acha kutukana ajira za watu wewe! Na hiyo kunawishana ipo ndege gani niende nikapande.
 
cabin crew haitofautiani na kazi za waiters! professional ni aibu kufanya hii kazi au sababu ni kupanda ndege? upo tayari kumpangia msosi na kumnawisha classmate wako ndani ya pipa!

cha muhimu ni Mshahara mkuu..
 
cabin crew haitofautiani na kazi za waiters! professional ni aibu kufanya hii kazi au sababu ni kupanda ndege? upo tayari kumpangia msosi na kumnawisha classmate wako ndani ya pipa!

Acha dharau kijana! ni sawa na kuwa cashier bank unapokea pesa za classmate wako, au kuwa daktari unamtibia class mate wako n.k
 
asiyejua maana haambiw maana ,jarib kuwa criaz na kile kinachozungumzwa cyo unakurupukurupuka na kuanza kuandika kwa kuwa umeona wenzako wamemeandika Rakeem
 
Last edited by a moderator:
:eek2😱mba qatar airways lakini unakope ndefu kama za wanawake wa doha?:israel:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…