Nafasi za field katika hotel Arusha na Zanzibar kwa anayetaka

Nafasi za field katika hotel Arusha na Zanzibar kwa anayetaka

Joined
Jul 25, 2012
Posts
29
Reaction score
2
Habari JF

Nafasi za field katika hotel Arusha na Zanzibar
Kama umemaliza kozi ya Basic Certificate in Hotel Management na hujapata field, tafadhari wasiliana nami kupitia visitatanzania@gmail.com au ni PM humu, field inachukuwa miezi 3, gharama ni 200,000 inajumuisha nauli, malazi na chakula kwa muda wote wa miezi 3.

Mhimu: Kiingereza na hakuna chochote tutakubaliana kabla ya mimi kujihakikishia walau unaweza kuwasiliana kwa kiingereza.

Nawasilisha
 
Ila tahadhari kwa dada zetu kuwaomba rushwa ya ngono mkuu. Utakufa.
 
Back
Top Bottom