Nafasi za intern CRDB

Samirah77

Member
Joined
Mar 17, 2024
Posts
21
Reaction score
29
Jamani niende direct kwenye mada juzi juzi hapa Tareh 31 March zilitoka nafasi za internship crdb bank ila mpk kufika Tareh 3 wakafunga jaman mimi nilijitahid kufanya application Lakin shida imekuja nmeandikiwa automatic disqualified kwa walioapply wengne jaman mkiangalia status ya application zenu zimekaaje?? Na saivi ukijaribu kulog in inakataa
 
Mnahangaika sana na hayo makampuni makubwa as if mtapata mikataba au maslahi ya kueleweka jambo ambalo si kweli.

Kuna vikampuni vipo huku uchochoroni havina website, social media account wala branding na mnavidharau ila ukifanya kazi huko mshahara wako plus maokoto unaweza jikuta kwa mwezi unafunga mahesabu na 2.5 milioni na wastani wa shilingi milioni 1 ya uhakika kila mwezi.

Madogo muwe na macho ya kuona mbali na udadisi, tatizo mnapenda sana majina makubwa ya vyeo with less pay. Na mnapenda ufahari wa kufanya kazi kampuni kubwa. That's rubbish.
 
Unaweza kutusaidia kupata address ya hizo kampuni ndogo unazosema kama hautojali ?
 
Hii umeandika kiujuaji saaaana mzee saaaaaaaaana. Mbele ya kadamnasi. Don't repeat this.
 
Nilitegemea uje hapa na hayo makampuni unayoona yatawafaa ingekuwa nzuri zaidi,
 
Share bc Hivyo vikampuni vdogo vijana wakapambane
 
Kama Kampuni gani Mkuu ?!
 
Mkuu naomba nikutafute Pm
 
Kampuni ndogo wanalipa mishahara mikubwa?emb tutajie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…