Jeff JF-Expert Member Joined Sep 26, 2009 Posts 1,293 Reaction score 200 Dec 5, 2011 #1 Wadau,nasikia wizara ya afya ina nafasi za Nutrition Officer katika baadhi ya wilaya,mwenye taarifa kamili naomba anijuze na kama ipo deadline ni lini? Pamoja JF
Wadau,nasikia wizara ya afya ina nafasi za Nutrition Officer katika baadhi ya wilaya,mwenye taarifa kamili naomba anijuze na kama ipo deadline ni lini? Pamoja JF
NYENJENKURU JF-Expert Member Joined Feb 11, 2011 Posts 1,066 Reaction score 294 Dec 5, 2011 #2 jaribu hapo http://www.moh.go.tz/ ingawa naona inamfua kidogo haifunguki
Dr.Chichi JF-Expert Member Joined Apr 30, 2008 Posts 2,393 Reaction score 632 Dec 5, 2011 #3 hiyo website inagoma kufunguka hii wiki ya pili...kama upo dar we nenda ukawaulize face to face
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Dec 6, 2011 #4 Dr.Chichi said: hiyo website inagoma kufunguka hii wiki ya pili...kama upo dar we nenda ukawaulize face to face Click to expand... Hiyo imetulia.
Dr.Chichi said: hiyo website inagoma kufunguka hii wiki ya pili...kama upo dar we nenda ukawaulize face to face Click to expand... Hiyo imetulia.
Jeff JF-Expert Member Joined Sep 26, 2009 Posts 1,293 Reaction score 200 Dec 6, 2011 Thread starter #5 Sawa wadau!