Nafasi za kazi 9,483 za Kada za Afya

Sasa wanasheria wale wapi nahuku ajira

Nenda mahakamani upate certification ya vyeti, not necessarylily kwa mawakili. Any officer with the power to administer notaries and commission for oaths

Ok sawa. Japo nilitaka kujua umuhimu na ulazima wake na nikapendekeza kama hakuna ulazima na umuhimu kiondolewe tu kipengele hicho.
 
Nenda mahakamani upate certification ya vyeti, not necessarylily kwa mawakili. Any officer with the power to administer notaries and commission for oaths

Lazima mahakamani?
 
Sorry mkuu naomba nitajie page namba itapendeza zaidi🙏
Ww n jobless afu kufuatilia page namba huwez unategemea kusaidiwa hilo?
Mshukuru aliyekusaidia ila badilika mkuu, kitu kdg kama hicho kinakushinda sasa cjui kama umemaliza salama kujaza hizo taarifa zako.

Anyway, nakutakia mema mkuu. Ni ushauri tuu ili kujengana katika ubora.
 
Mkuu, kuna uzi tulikuambia h ishu lkn bado ukakaza kichwa. Sasa ww weka tuu ambavyo havina mhuri wa mwanasheria afu tuma maombi na yatakubaliwa wala ht hakuna haja ya kulalamika ety n upigaji wa mawakili
 
Nilipata kabla ata ajanijibu nikaona ni vema kuja kumshukuru mana alionesha kuguswa na jambo langu.
Pia huo Si uvivu ndugu ni ugeni wa system yenyewe akuna aliyezaliwa anajua ni kujifunza TU.
Kama ujui unauliza ndio njia mojawapo ya kujua
 
🤝
 
Mbona kila nikifungua post za daktari daraja la 11,
qualifications zinataka wa shahada TU na tangazo limeruhusu adi wa stashahada kuomba Nini shida hapo???????
Wewe mwenye diploma ni tabibu sio daktari. Tafuta taaluma yako.
 
Mkuu, kuna uzi tulikuambia h ishu lkn bado ukakaza kichwa. Sasa ww weka tuu ambavyo havina mhuri wa mwanasheria afu tuma maombi na yatakubaliwa wala ht hakuna haja ya kulalamika ety n upigaji wa mawakili
Usijali mkuu. Acha mawakili na wanasheria nao wavune.
 
Kwa ambae alishakuwa na account tangia awali ya ajira portal,anatakiwa afanye nini ili atumiwe pasword kwenye e-mail aliyo jisajiria?.

Mfano:barua pepe yako ni "atuganilebushoke01@gmail.com na nywila yako ni " jkq9@" ya kuingia kwenye mfumo.
Huwezi kufungua account zaidi ya moja. Fanya mpango wa ku-rcover password. Maana kila akaunti inatambulika kwa namba ya NIDA. Hivyo namba ya NIDA moja inaweza kufungua akaunti moja
 
Attachments

  • recover password.png
    30.4 KB · Views: 10
Samahanini, hivi hizi ajira zitakuwa na interview? Kama ni ndiyo, interview itakuwa lini?

Pia majina ya waliopata kazi yatatangazwa lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…