shizukan
JF-Expert Member
- Jan 16, 2011
- 1,158
- 564
Bandugu wanaJF, kuna hizi nafasi za kazi zimetoka kwenye The Guardian Nov 4 za the so called Agribusiness, kwenye site ya Zoom zimeelezwa kwa kifupi kupita maelezo hakuna requirements wala description na mbaya zaidi ni mode of application kupitia zoom. Kama ndugu yetu wa ZOOM ataona ujumbe wangu atusaidie kwa hili pia, pale wameelekeza tutume references na tatizo ni kwamba hakuna namna unaweza ku-upload more than 5 files kupitia zoom. Kama yupo mwana JF mwenye kopi ya the guardian ya 4th Nov, please do me (us) a favour kutuscania na kulink that page from the paper ili tupate e-mail address ya agribusiness tutume makaratasi yetu tusubiri kuitwa kutoa rushwa