happy amos
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 251
- 434
wana JF wenzangu nipo arusha naomba mkisikia sehem wanatafuta mtu wa kufanya kaz ya secretary, receptinist, au customer care na stationary mnijulishe kwani ninauzoefu wa kaz hizo pia nimesomea na ninauzoefu nazo. tusaidiane jaman lengo ni kujikwamua katika maisha