Nafasi za kazi Bank of Tanzania 11/11/2011

Nafasi za kazi Bank of Tanzania 11/11/2011

hummer

Member
Joined
Oct 20, 2011
Posts
43
Reaction score
3
Nafasi nzuri za kazi

PROCUREMENT/SUPPLIES OFFICER II– 4 POSTS at Bank of Tanzania in Mwanza


ELECTRICAL TECHNICIAN III – I POST
at Bank of Tanzania in Arusha


COMPUTER SYSTEMS ENGINEER (IT AUDIT) – 1 POST
at Bank of Tanzania in Dar Es Salaam


COMPUTER ANALYST/ PROGRAMMER (IT AUDIT) – 1 POST at Bank of Tanzania in Dar Es Salaam


BANK OFFICER (PROJECT MANAGEMENT)– 2 POSTS at Bank of Tanzania in Dar Es Salaam


SECURITY GUARDS – 5 POSTS at Bank of Tanzania in Dar Es Salaam


Tujaribu bahati ndugu/dada zangu.... tukumbuke kutenda wema kwa wenzetu..
 
Hizo Qualifications requirements sasa.....................
 
Haya sasa watoto wa vigogo kazi kwenu bana cc ndo hivyo 2takomaa kivingine hapa kitaa.
 
Leo hamsemi wachagga kimbilieni!
Kazi ni kwa wote wakuu... Sio wachagga na BOT na TRA ndo kazi zao.
 
Leo hamsemi wachagga kimbilieni!
Kazi ni kwa wote wakuu... Sio wachagga BOT na TRA ndo kazi zao.
 
Kuna wakati hawa vilaza walitangaza kazi za FINANCIAL ANALYSTS, je hizo walishazijaza? Maanake website yao huwa hawaitumii vilivyo kuelezea kuwa watu wamefanikiwa au la!! Msitangaze kazi tu pia muwe transparent kutangaza watu waliofanikiwa kama mnataka watu wawe na imani na nyinyi ingawa ishara zinaonesha Gavana wenu kazi inamshinda!!
 
Back
Top Bottom