kinetiq01 Member Joined Aug 25, 2006 Posts 49 Reaction score 0 Jun 13, 2009 #1 Ndugu zanguni, tusiishie kulalamika wakenya wanatupiga bao. Hapa kuna ajira za Google kwenye ofisi zao za Nairobi na Johanesburg. Requirements siyo ngumu, tuna wasomi wengi wenye uzoefu. Bonyeza hapa
Ndugu zanguni, tusiishie kulalamika wakenya wanatupiga bao. Hapa kuna ajira za Google kwenye ofisi zao za Nairobi na Johanesburg. Requirements siyo ngumu, tuna wasomi wengi wenye uzoefu. Bonyeza hapa