Nafasi za Kazi Hazina

kyangara

Member
Joined
Nov 10, 2010
Posts
86
Reaction score
8
Wana JF nasikia kuna nafasi za kazi zimetoka hazina mwenye taarifa atujulishe pliz
 
kwa wanao hitaji kazi za serikali siku hizi anae toa ajira ni tume ya utumishi na nafasi zote zinatangazwa hapa;
Presidents Office - Public Service Management - Downloads

==============
WARNING FROM ADMIN:

The above link to UTUMISHI website is NOT SAFE, it will redirect you to:
System scanner (not safe at all!)

Beware! You may download these vacancies from the attachments below:
 

Attachments

Naomba nikusahihishe unayesema kazi za serikali zinatolewa na tume ya utumishi.....Inaitwa Sekretarieti ya Ajira. :mod:
 
kazi kazi kweli kweli. mtabakia kuzisoma kwenye mitandao na hamzipati ng*o
 
Asante saana mkuu, ila naomba unisaidie kitu kimoja kama unaweza kunipatia zile nafasi za kazi za arusha technical, please!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…