Kuna kitu anatafuta huenda akakipata,naona bora kukaa na baiskeli yenye pancha kuliko huyo dogo. Inabidi anayeishi nae ampatie ushauri kwanza,atakula sembe hapo mpaka atakapo oa au kuwa na maisha yake.
Habar jf?
Nafasi ndio hizooo zimetoka kwa wale wanaotaka kujiunga na jesh la magereza. Vigezo ni vile vile kama umemaliza 4m 4 na ukapata div 4 haijalish ni 4 ya ngap? Unaweza ukaomba na ukapata.
Mhh kuna huyu jamaa hapa kaletewa gazet la MWANANCH na bro wake kaambiwa angalia jesh la magereza wametoa nafas za kujiunga. Kama vp changamkia nafas hyo dogo alimjibu bro wake jbu la kijinga et c bora nikae bila kaz kuliko kwenda huko'
Duh bro kachoka haelew afanye nn ili amsaidie mdogo wake?
Kuna kitu anatafuta huenda akakipata,naona bora kukaa na baiskeli yenye pancha kuliko huyo dogo. Inabidi anayeishi nae ampatie ushauri kwanza,atakula sembe hapo mpaka atakapo oa au kuwa na maisha yake.
Hv ni kwanin vijana weng hatak kabisaaa kujiunga na jesh la magereza? Wanasema et ni kupoteza muda wako ni ya kwl haya or?
kuna usemi kwamba,askari jela nae ni sawa na mfungwa tu coz muda mwingi nae yuko gerezani akiwalinda wafungwa.over
Tembelea gereza lilo karbu yako na umuone mkuu wa gereza
Atakupa info zote.
nimenunua gazeti la Mwananchi la Leo na jana,lakini sijaona tangazo lolote kuhusu ajira huko Magereza.
Sasa si naweza kwenda nikaulizwa chanzo cha habari? Na kwa mimi ninakaa Mbezi Mwisho,natakiwa niende gereza lipi au nikienda makao makuu naweza kupata info zote?
Senetor
Co kwl ile ni kaz kama kaz nyngine vile.
Sema tatizo liko wapi mpaka vijana kukataa kwenda hawapat muda wa kujiachia or?