Nafasi za kazi Jeshi la Magereza!

kulingana na tangazo,deadline ni tarehe 30 mwezi huu.
 
Hv ni kweli kwamba wanao hitajika magereza ni walio maliza kidato cha nne kuanzia 2009 kwenda mbele tu na wala sio wengine.

Ni kwel wanahitaj waliomaliza 4m 4 kuanzia 09 hadi 11.

Kama vp tembelea office za magereza zilizokarbu nawe.
 
Tangazo nimeliona pia Ofisi za Wenyeviti Serikali za Mitaa,na kuna namba fulani zimewekwa,kwa hiyo piteni na huko mpate details...
 
Tangazo nimeliona pia Ofisi za Wenyeviti Serikali za Mitaa,na kuna namba fulani zimewekwa,kwa hiyo piteni na huko mpate details...

umelisoma vizuri linataka sifa zipi na hatua zipi zifuatwe? Msaada mkuu.
 
Jamani mimi nahitaji sana kujiunga na Jeshi la Magereza!
Naomba nipewe info contacts zao ili nitinge moja kwa moja!
Msaada plz...

Andika barua ya maombi ya kazi kwa:- kamishina generali wa magereza box 9190 Dar. Ambatanisha vivuli vya vyeti vyako kama wewe una taaluma yoyote, na kama ni 4m 4 pitisha maombi yako kwa mkuu wa magereza wa mkoa uliopo, viambatanisho muhimu ni vyeti vyako vya shule,cheti cha kuzaliwa, au affidavit,na picha 1 pps ya karibuni. Maombi yafike kabla ya tarehe 30 April 2012
 
umr 18 to 25 kwa form 4 and 18 to 33 4 profsnals, uref inch 5.4 kwa wanawake and mor inch kwa wanaume, taaluma za kushona, e.t.c
 

thanx mkuu,nimefanya utaratibu wote,na fomu wamechukua,pia vipimo nimefanya vya urefu,nina ft 5 inch 6,cjui ntapita! Na tutapataje info za usaili,au what next....
 

nmeipenda mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…