Nafasi za Kazi JWTZ

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,217
wengi wenu mumesikia kuwa Jwtz wametoa nafasi kwa wale wenye vipaji vya.....

kucheza ngoma za asili.
Kupiga ngoma za asili
Kupiga gitaa
Kupiga kinanda
Kupiga Drums

Kila kihusianacho na music,kwa taarifa zaidi nenda ofisi za washauri wa mgambo ofisi za wakuu wa mikoa mtapata taarifa zaidi.

Mafanikio Mema
 

Kwa hiyo bibie ina maana ambao hawana kipaji japo wamehitimu form 4 na std 7 hawatakiwi?!
 
please komba get back to job, quit politics, sasa jeshi linakosa waimbaji
 

Hivi watafundishwa na kutumia silaha? Kwani kazi ya jeshi ni vita na sio kutumbuiza. Kama uwanja wa vita ni kumtumbuiza adui basi na iwe hivyo? Al-shabaab akisikia hili basi atateka meli mpaka hapo Magogoni!!
 
Hivi watafundishwa na kutumia silaha? Kwani kazi ya jeshi ni vita na sio kutumbuiza. Kama uwanja wa vita ni kumtumbuiza adui basi na iwe hivyo? Al-shabaab akisikia hili basi atateka meli mpaka hapo Magogoni!!
wanachukua mwisho miaka23
 

naona jeshi wameanza kutafta vipaji vya kuanzisha bendi za mchiriku, siku hizi sina imani na jeshi hata kidogo
 
Kwa hiyo bibie ina maana ambao hawana kipaji japo wamehitimu form 4 na std 7 hawatakiwi?!

Unauliza nyanya sokoni!!? Eti sokoni kuna nyanya eeh?!! Wakati sokoni nyanya ndio mahali pake!!
 
hizo nafasi zina wenyewe.

Hapo naona wameamua kuziua bendi za miziki ya wazee wa masauti,wazee wa mayeno maana ndio wenye sifa hizo. naona wanajeshi wameamua waanzishe bendi za miziki ili kujiongezea kipato.
 
Wdau embu nifaamisheni vzuri jesh linataka kuongeza bendi nini? Sasa nahao wanao jiita top bend na machozi bendi si watakosa ajkira?
 
Jeshi huwa halifanyi biashara mkuu, hiyo hata ulaya jeshi lina vikundi vyake vya burudani, hapo wanataka kuongeza nguvu zile blassband na dance band pia na siyo kuunda bend mpya.
 
Hakuna bendi inayoongezwa kaka, hiyo ni kuongeza nguvu hasa kwenye blass band.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…